Breaking News

TMA YAKUMBUSHWA KUZINGATIA TARATIBU ZA SHERIA NA MATUMIZI YA FEDHA

Morogoro
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TMA kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF, Morogoro kuanzia Tarehe 03 – 04 Aprili 2023, kwa dhumuni la kupokea, kujadili na kupitisha mapendekezo ya bajeti ya Mamlaka kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024.

No comments