Breaking News

UTABIRI WA HALI YA HEWA WA SAA 24 KUANZIA SAA 3 USIKU

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa angalizo kuhusu uwepo wa mvua katika baadhi ya mikoa nchini ikiwemo mkoa wa Mara, Simiyu, Shinyanga, Mwanza, Dodoma na Singida, pia uwepo upepo katika baadhi ya mikoa ya Lindi na Mtwara


 

No comments