Breaking News

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO 4 MARCH 2023

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa upepo mkali uliofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa katika baadhi ya Bahari ya Hindi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani, Dar es Salaam na Visiwa vya Unguja, Mafia na Pemba
 

No comments