Breaking News

GWALABET YAJA NA 'JIPIGIE TU' KILA MTEJA KUSHINDA HATA KAMA MKEKA USIPOTOKI.

Msanii Feza Kessy na Meneja masoko wa Gwalabet bwana Stephen Mokiwa wakizindua rasmi promosheni ya 'JIPIGIE TU" uzinduzi uliofanyika katika hotel ya serena jijini Dar es salaam.
Msanii Feza Kessy akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi promosheni ya 'JIPIGIE TU" uzinduzi uliofanyika katika hotel ya serena jijini Dar es salaam.

Dar es salaam:
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Gwalabet imezindua promosheni ya 'JIPIGIE TU" itakayowawezesha kila mchezaji atakaye suka mkeka na kucheza kiwango chochote cha pesa kupata point ambazo zitamwezesha kushinda hadi milioni moja kila wiki.

Akizungumza katika hafla ya uzibduzi huo uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam msanii maarufu Feza Kessy alisema hii ni fursa kwa wachezaji wa Gwalabet kuweza kufaidika kupitia bet zao.

"Kila unapoweka mkeka kiwango chochote cha pesa utapata point za bure ambazo zitakuwezesha kuingia rasmi moja kwa moja katika droo ambayo ataweza kushinda hadi milioni 1 kila wiki hata kama mkeka wake usipotiki" Alisema Feza.

Alisema kampeni hii imelenga zaidi kugusa makundi matatu ambapo kila mshiriki atapata fursa ya kuingua katika droo ya wiki ambapo mßhindi atapata kitita cha milioni 1, ya pili ni kuwa kila mtaja mpya atapata fursa ya kubet bure kwa siku saba mfululizo.

Aidha Bi Feza aliongeza kuwa kwa wale ambao wanatumia simu za mkononi za vitochi wanaweza nao kucheza kwa kupitia USSD ambayo ni *149*28# 

Kwa upande wake Meneja masoko wa Gwalabet bwana Stephen Mokiwa amesema kabla ya kuja kampeni hii wamefanya utafiti na kugundua kuwa wateja wetu wengi wanapenda huduma za Gwalabet awana simu janja ( Smartphone )pamoja na changamoto ya kutokuwa na bando la Internet.

"Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa hata kama una simu ya kitochi au umeishiwa bando bado unaweza kubet na Gwalabet kupitia 
*149*28# na kubwa zaidi ni kuwa kampeni hii ambayo itapatikana kwa wateja wa TIGO na AIRTEL aitokuwa na makato ya aina yoyote" Alisema Bw. Mokiwa

No comments