Breaking News

UTABILI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3 USIKU 10 FEB 2023


Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA pia imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa katika baadhi ya mikoa ya Njombe, Ruvuma, Morogoro, Lindi na Mtwara.

Taarifa hiyo iliongeza kuwa katika siku tano kuanzia kesho jumamosi ya February 11, 2023 kunaweza kuwepo na matarajio ya hali mbaya ya hewa  


No comments