Breaking News

MAENDELEO BANK YAJIVUNIA MAFANIKIO KWA MWAKA 2021/22

Benki ya Kibiashara ya Maendeleo imeyangaza kuwa imeongeza mtaji wake kutoka shilingi Milioni 710 Hadi bilio 2.02 kwa kipindi Cha Mwaka 2021/2022.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Benki hiyo Dokta Ibrahim Mwangalaba Amesema  ongezeko hilo ni sawa na Asilimia 184 ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 163 ongezeko hilo limetokana thamani ya hisa 50 za Benki hiyo.

"Kabla ya Faida na baada ya Faida Ukuwaji wa wanahisa umeongezeka kwa Asilimia 8, Faida kabla ya Kodi imeongezeka kutoka Milioni 710 hadi kufikikia billion 2.2 kwa Mwaka 2022 wakati Faida baada ya Kodi imeongezeka kutoka shilingi Milioni 587 Hadi kufikikia Shilingi bilion1.3122 kwa Mwaka ". Alisema Dkt. Mwangalaba.

Aidha Dkt Mwangalaba aliongeza kuwa ukuwaji wa mapato hayo umetokana na ukuaji wa mapato kwa Asilimia 22 kutoka bilioni 7.6 kwa Mwaka 2021hadi kufikia shilingi Billion 9.9

Alisema hali ya Kibiashara ya mikopo imeweza kuimarika kutoka mikopo chechefu ya Asilimia 13 kwa kipindi Cha Mwaka 2021 Hadi kufikikia 5.2 mwaka 2022 hali iliyochangiwa na mapato ya taasisi hiyo.

"Amana za wateja ziliongezekakwa Asilimia 11 kutoka billion 70 Mwaka 2021hadi bilioni 77". Aliongeza Dkt. Mwangalaba.

No comments