Breaking News

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WATAALAM WA MAWASILIANO NA UMMA TANZANZIA WAFANYIKA JIJINI DAR

Naibu katibu mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari Dk. Jim Yonazi Akifafanua jambo katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa chama cha wataalam wa mawasiliano na umma Tanzania (PRST) uliofanyika katika ukumbi wa PPF Tower jijini Dar es salaam.
Mwenyekti wa bodi ya ushauri wa chama cha wataalam wa mawasiliano na umma Tanzania (PRST) Bw. Jossey Mwakasyuka akizungumza katika mkutano mkuu wa chama cha wataalam wa mawasiliano na umma Tanzania (PRST) uliofanyika katika ukumbi wa PPF Tower jijini Dar es salaam.
Rais wa chama cha wataalam wa mawasiliano na umma Tanzania (PRST), Bw. Loth Makuza Akielezea historia ya chama hicho katika mkutano mkuu huo wa siku mbili uliofanyika katika ukumbi wa PPF Tower jijini Dar es salaam.
Afisa mtendaji mkuu wa chama cha wataalam wa mawasiliano na umma Kenya (PRSK), Bi. Sylvia Mwichuli akizungumza wakati wa ufunguzi wa huo mkuu wa siku mbili wa chama cha wataalam wa mawasiliano na umma Tanzania (PRST), uliofanyika katika ukumbi wa PPF Tower jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEC) Bw. Deodatus Balile akiongea wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa siku mbili wa chama cha wataalam wa mawasiliano na umma Tanzania (PRST), uliofanyika katika ukumbi wa PPF Tower jijini Dar es salaam.
Wanachama wa chama cha wataalam wa mawasiliano na umma Tanzania (PRST) na wadau kutoka taasisi mbalimbali ambao wameshiriki  katika mkutano mkuu huo wa siku mbili uliofanyika katika ukumbi wa PPF Tower jijini Dar es salaam.




No comments