Breaking News

Rais SAMIA Aondoka Nchini Kuhudhulia Kuapishwa Rais Mteule Wa ZAMBIA

Rais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 alipokuwa akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Mhe. Hakainde Hichilema. IKULU


 

No comments