Maadhimisho Ya Miaka Mitatu Tangu Kuanzishwa Kwa Taasisi Ya JKCI Yafana Jijini Dar.
Mchekeshaji Bob Shaw kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani akitoa burudani kwa wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 iliyofanyika hivi karibuni kwenye hoteli ya Protea Court Yard Sea view jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania Veronica Romwald kutokana na mchango wa gazeti hilo wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima Asha Mwakyonde kutokana na mchango wa gazeti hilo wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha East Africa Oliver Nyeriga kutokana na mchango wa kituo hicho wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru Baraka Loshiraa kutokana na mchango wa gazeti hilo wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi cheti cha shukrani mwandishi wa habari wa gazeti la Habarileo Regina Kumba kutokana na mchango wa gazeti hilo wa kutoa elimu kwa umma kuhusu magonjwa ya moyo wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wageni waalikwa wakicheza mziki wa iyokote uliokuwa ukipigwa na bendi ya Cocodo African Music wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 iliyofanyika hivi karibuni kwenye hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam.
No comments