Chuo Cha Kodi (ITA) Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake
Naibu
Kamishna wa Kodi za Ndani kutka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Michael
Muhoja akizungumza katika maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya
Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo tareha 28 april 2018 jijini Dar
es Salaam. Picha na Frank Shija Maelezo.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Dkt. Lewis
Ishemoi akizungumza wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma
ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni Apri 29, 2018 jijini Dar es Salaam. Siku
hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inayowakutanisha wanafunzi na wadau
mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja
wa Mataifa (UNDP), Bi. Natalie Bouely akielezea namna anavyofurahishwa na jinsi
Serikali ya Tanzania inavyoshughulikia masuala ya kodi wakati wa maadhimisho ya
tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni April
29, 2018 jijini Dar es Salaam.
Afisa Uhusiano Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Bi.
Oliver Njunwa akisisitiza jambo wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi
na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo Ar 29,218 jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Kodi
(ITASO), Bi. Happines Gherabaster akifafanua jambo wakati wa maadhimisho ya
tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni
hapo April 29, 2018 jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Taasisi ya Global Education Link
(GEL), Bi. Happiness Agathon akimkabidhi zawadi kwa mwanafunzi wa mwaka wa TATU
wa Chuo cha Kodi (ITA), Bi. Nteghenjwa Kidika zawadi ya ushindi wa pili katika
uwasilishaji wa mada wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma
ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo April 29, 2018 jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Kodi wakifuatilia
hutuba ya mgeni rasmi (Hayupo Pichani) Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani kutka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Michael Muhoja (hayupo pichani) ambaye
alimwakilisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere
katika maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA)
yaliyofanyika chuoni hapo April 29, 2018 jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka Benki ya CRDB, Bw. Wilberforce
Benda( mwnye Kaunda suti) akiwa katika picha ya pamoja na Kikundi cha wanafunzi
walioibuka washindi wa kwanza katika uwasilishaji wa mada wakati wa maadhimisho
ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni
hapo April 29, 2018 jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day)
inawakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri
wao katika fani wanazosomea.Wanafunzi hao waliwasilisha mada kuhusu namna ya
kuandaa mipango ya kodi.
No comments