Breaking News

Kutoka Viwanja Vya Karimje: Mwili Wa Kingunge Ngombale Mwiru Umewasili Tayari Kwa Kuagwa Na Viongozi Mbalimbali


Jeneza lililobeba mwili wa Kingunge Ngombale Mwiru limewasili katika viwanja vya Karemjee tayari kwa kuagwa, Viongozi mbalimbali watatoa heshima zao za mwisho

No comments