News Update: Mgombea Wa Udiwani Kata Ya Buhangaza (CHADEMA) Aliyetoweka Toka Juzi, Ameokotwa Akiwa Ametupwa Barabarani Akiwa Na Majeraha.
Kwa taarifa
iliyotufikia hivi punde ni kuwa Mgombea wetu wa Kata ya Buhangaza aliyetekwa
toka juzi ameokotwa akiwa ametupwa barabarani akiwa na majeraha makubwa mwili
mzima. Wasamalia wema waliomukota wamemkimbiza Hospitali ya Kagondo kwa msaada
wa haraka.
Habari zaidi zitakujia mda si mrefu endelea kufatia......
No comments