Msafara Wa Madiwani Jijini Mwanza Washambuliwa Na Wananchi
Msafara wa ziara hiyo
ukiwa Kata ya Lwanima.
Tanki la maji la Igambiti katika Kata ya Lwanima.
Miongoni mwa kituo cha maji cha mradi wa maji Fumagila Kata ya Kishili ambacho kilikutwa kimefungwa.
Msafara wa madiwani Jijini Mwanza washambuliwa na wananchi Ni
katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo Jijini Mwanza
iliyohusisha madiwani 16 wa Jiji la Mwanza pamoja na waandishi wa habari ambao
nao wajikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzuiliwa kupigwa picha.
Tanki la maji la Igambiti katika Kata ya Lwanima.
Miongoni mwa kituo cha maji cha mradi wa maji Fumagila Kata ya Kishili ambacho kilikutwa kimefungwa.
Madiwani wa Jiji la Mwanza
wakishuhudia moja ya kituo cha maji cha mradi wa maji Fumagila kikitoa maji
ambacho kilikutwa kikitoa maji.
Video ya tukio
bonyeza hapa>>>
Source BMG Habari
No comments