Breaking News

Makamu Wa Rais Mhe Samia Azindua Maonyesho Ya Ya Kimataifa Ya Utalii Ya Swahili International Tourism Expo Jijini Dar.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mwakilishi wa Kampuni ya Ethiopia Airline tuzo ya kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kufanikisha maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. 
Washriki wakifatilia mada mbalimbali ambazo zilikuwa zinawasilishwa katika  maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. 

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Giraffer Ocean View Hotel katika moja ya mabanda ya maonesho mara tu baada ya ufunguzi wa mkutano leo jijiji Dar es Salaam.

No comments