Jiji La Dar Es Salaam Kufungwa Kamera Maalum Za Kufuatilia Wahalifu (Cctv).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Song, Geum Young wakati wa siku maalum ya
kuadhimisha urafiki kati ya Tanzania na nchi ya Korea kusini ambapo Balozi huyo
amekubali kusaidia kufunga kamera maalum za kufuatilia wahalifu-CCTV katika
jiji la Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Korea Kusini Song, Geum Young (wa
tatu kutoka kushoto) pamoja na maofisa wengine wakati wa siku maalum ya
kuadhimisha urafiki kati ya Tanzania na nchi ya Korea kusini ambapo Balozi huyo
amekubali kusaidia kufunga kamera maalum za kufuatilia wahalifu-CCTV katika
jiji la Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Polisi)
Kamishna wa Polisi, Oparesheni na Mafunzo Nsato
Marijani akizungumza na Askari Polisi wanaokwenda kwenye Operesheni ya ulinzi
wa amani Darfur Sudan wakati wa zoezi la kuwakabidhi bendera ya taifa ambapo
jumla ya Askari 24 wanatarajia kuondoka hivi karibuni.(Picha na Jeshi la
Polisi)
Kamishna wa Polisi, Oparesheni na Mafunzo Nsato
Marijani akiwakabidhi bendera ya taifa
Askari Polisi wanaokwenda kwenye Operesheni ya ulinzi wa amani Darfur Sudan
ambapo jumla ya Askari 24 wanatarajia kuondoka hivi karibuni.(Picha na Jeshi la
Polisi)
No comments