RAIS MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI HUU JULAI 6,2017
Rais John Pombe Magufuli amemteua Bw. Waziri Waziri Kindamba
kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
imeeleza kuwa uteuziwa Bw. Waziri Waziri Kindamba umeanza July 4, 2017.
Kabla ya uteuzi huo, Bw. Waziri Waziri Kindamba alikuwa akikaimu
nafasi hiyo.
No comments