LIST YA NCHI 10 ZINAZOFANYA TAFITI NYINGI ZA KUGHUSHI (FAKE RESEARCH) DUNIANI,TANZANIA IMETAJWA.
Tanzania
imetajwa kuwa nchi ya 3 kwa kuwa na Taasisi za utafiti zinazofanya tafiti
nyingi za kughushi (Fake Research) duniani.
Katika
orodha hiyo Tanzania imetanguliwa na Nigeria na Malaysia zilizoshika nafasi
mbili za juu.
Ripoti iliyotolewa na mtandao wa
"TheRich" wenye makao yake mjini Oklahoma, nchini Marekani, imetaja
nchi 10 mashuhuri duniani kwa kufanya tafiti "fake" na kutoa matokeo
ya kutunga (Research Fraud - Inauthentic and Fake reports - Leading Countries).
Ripoti hiyo ya
uchunguzi inaonesha kuwa nchi hizo ni mashuhuri kwa kufanya tafiti za uongo na
kupika matokeo.
Inaelezwa kuwa mara nyingi baadhi ya mashirika hutumia kivuli
cha utafiti ili kupenyeza "agenda zao binafsi au za wafadhili wao"
katika ripoti za tafiti hizo.
Imeelezwa kuwa "watafiti" hujifungia
vyumbani na kubuni utafiti kisha kuandika ripoti ya kubuni (fake) na kuitangaza
hadharani kuwa ni matokeo halisi ya utafiti.
Orodha
kamili ya nchi 10 mashuhuri kwa ubadhirifu/wizi/udanyanyifu/upikaji wa matokeo
ya tafiti/utoaji wa ripoti "fake" za utafiti ni kama ifuatavyo:
1. Nigeria
2. Malaysia
3. Tanzania
4. Gambia
5. Madagascar
6. Malawi
7. Uganda
8. Benin
9. Bangladesh
10. Haiti
2. Malaysia
3. Tanzania
4. Gambia
5. Madagascar
6. Malawi
7. Uganda
8. Benin
9. Bangladesh
10. Haiti
Nchi zote katika orodha hiyo zipo pia kwenye orodha ya nchi 25
maskini zaidi duniani iliyotolewa na UNDP isipokua Malaysia na Nigeria.
Nchi 7 katika orodha hiyo zipo Afrika, na 2 zinatoka Afrika
Mashariki.
No comments