MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KARATU

Wanafunzi
29 , walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya
Arusha wamefariki dunia leo saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria
kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.
Wanafunzi
na walimu hao walikuwa wakitoka shuleni kwao kwenda shule ya msingi iitwayo
Tumaini kwa ajili ya kufanya mtihani wa ujirani mwema na walipofika katika eneo
la Rhotia Marera basi walilopanda liliacha njia na kisha kutumbukia korongoni
ambako limesababisha vifo hivyo na majeruhi watatu.
Hapa
chini ni majina ya wanafunzi waliofariki katika ajali hiyo
No comments