LIVE: YANAYOJIRI MOSHI KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Leo
ni maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani, ambapo Tanzania inaunga na nchi
nyingine duniani kuadhimisha na Kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika katika
viwanja vya Ushirika Moshi, mkoani Kilimanjaro na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ndiye mgeni rasmi katika maadhimisho hayo
akiwa ameambatana na Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
pamoja na viongozi wengine wa Kitaifa.
Bofya
hapo chini kutaza tukio hili LIVE kutoka Moshi
No comments