DKT MPOKI: TANZANIA HAIJAFIKIWA NA UGONJWA WA EBOLA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam
NA
ALLY DAUD-WAMJW
TANZANIA
bado haijafikiwa na ugonjwa wa ebola kama inavyodaiwa na baadhi ya watu
kutokana na utafiti uliofanyika na wataalamu wa afya hapa nchini.
Hayo
yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya wakati wa mkutano
na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu tishio la uwepo wa
ugonjwa huo katika nchi za jirani .
“Wananchi
wanashauriwa kutokuwa na hofu bali wachukue tahadhari zaa kujikinga na ugonjwa
huu kwani mpaka sasa hakuna mtu aliyethibitishwa kuugua ugonjwa huu hapa
nchini” alisema Dkt. Ulisubisya.
MAFINDOFINDO
ni moja kati ya mtandao wa viungo muhimu mwilini vinavyo husika na kinga dhidi
ya maambukizi ya virusi, bacteria,fangasi na mwibuko wa celi za saratani.
No comments