HUU NDIO ALICHOAMUA KUKIANDIKA IDRISS SULTAN BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUZINDUA PERFUME YAKE
chini
ujumbe wa star hwa vichekesho Idriss nchini mara baada ya diamond kuzindua
brand yake ya chibu pufrume
Congratulations kwako mshkaji wangu kwa this new brand. Binafsi
nipo tayari kununua your brand kwasababu I believe in you and your hustle 👌🏽..
Kuna mastaa wengi lakini wengi hujui hata wanafanya nini na umaarufu wao
there's just no content kabisa 🙈.. God bless your hustle & your
beautiful family. Cc: @diamondplatnumz ...
Kumbuka Vita sio ya sisi wenyewe kwa wenyewe maana mshindi atakua anaongoza
kwenye kundi la wazembe. Vita ni sisi na nchi nyingine kuonyesha the real
Tanzania 🇹🇿.. Narudia "Content muhimu" .. Umetatua
tatizo la harufu braza 😂
No comments