Breaking News

PICHA: MAHAFARI YA 12 YA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR -SUZA

 Rais wa Zanibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi na mkuu wa chuo cha suza Dkt Ali Mohamed Shein akimtunuku mmoja wa wahitimu ambaye amefanya vema katika ufaulu wa lugha ya Kiswahili.

 Wageni na viongozi mbalimbali kutoka serikali ya mapinduzi ya Zanzibar wakifatilia mahafali ya 12 ya chuo kikuu cha taifa Zanzibar (SUZA) kampasi ya tanguu , mapema leo mjini magharibi Zanzibar
 Wahitimu wa ngazi mbalimbali wa wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na waziri wa elimu katika mahafari ya 12 ya  chuo kikuu cha Zanzibar (SUZA) kampasi ya tunguu mapema leo mjini magharibi zanzibar.
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt ali Mohamed Shein, akiwa na makamu mkuu wa chuo kikuu cha SUZA pamoja na vongozi wengine wa chuo hicho katika picha ya pamoja katika mnara wa karafuu uliopo chuoni hapo (Picha zote na Leornad Mutani)

No comments