Breaking News

PICHA YA MUONEKANO WA SANAMU LA ASKARI, ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU 8 KUADHIMISHA SIKU YA UHURU WA TANZANIA BARA

Pichani  Sanamu ya Askari ikiwa imezungushiwa mapambo ikiwa ni siku nane (8) kabla ya kufikia kilele cha Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara itakayofanyika tarehe 09/12/2016 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni; “Tuunge Mkono Jitihada za Kupingaji Rushwa, Ufisadi na Kuimarisha Uchumi wa Viwanda kwa Maendeleo Yetu”. (Picha Na: Frank Shija- MAELEZO)

No comments