DSE YATOA TUZO KWA KAMPUNI ZENYE UTAWALA BORA KATIKA SOKO LA MITAJI.
Msajili Hazina Bw Lawrence Mafuru akizungumza katika hafla ya utoaji wa Tuzo kwa makampuni mbalimbali ambayo ni wadau wa soko la hisa la dar es salaam (DSE) jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti
wa jotpo la waandaaji wa tuzo hizo, mkaguzi mstaafu wa hesabu za
serikali bw Utou akizungumza katika hafla ya ya kutoa tuzo kwa makampuni
mbalimbali ambao ni wadau wa soko la hisa la Dar es salaam (DSE) jijini
dar es salaam
Afisa
mtendaji mkuuu wa soko la hisa la dar es salaam (DSE) bw norem marwa
akizungumza katika hafla ya ya kutoa tuzo kwa makampuni mbalimbali ambao
ni wadau wa soko la hisa la Dar es salaam (DSE) jijini Dar es salaam
Pichani
kutoka kushoto afisa mtendaji afisa mtendaji mkuuu wa soko la hisa la
dar es salaam (DSE) bw Moremi Marwa, Mgeni rasmi katika hafla hiyo bw
Lawrence Mafuru katikati, Na mwenyekiti wa jopo la majaji wa tuzo hizo
mkaguzi mstaafu wa hesabu za serikali bw Ludovic Utou
Mgeni
rasmi mgeni rasmi katika hafla Msajili wa Hazina bw lawrence Mafruru
akikabidhi Tuzo0mwakilishi wa Bank ya CRDB PLS katika category ya Best
listed company in the main investment market.
Mwakilishi
wa kampuni ya Orbit Securities Company Ltd hakionyesha Tuzo yao katika
category ya Best Stock Broker mara baada ya kukabidhiwa.
Mwakilishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akipokea tuzo baada ya kushinda katika category ya Best Digital Media.
Wageni
waalikwa kutoka makampuni mbalimbali wakifatilia utoaji wa tuzo kwa
makampuni yenye utawala bora katika huduma zao kwenye soko la mitaji
Na Frank Wandiba
SERIKALI
imesema itaendelea kutoa ushiriano na makampuni na tasisi za kifedha
ili kuwezesha taasisi hizo kuweza kuchangia katika pato la taifa na kuweza
kukuza uchumi wa nchii
Akizungumza katika
hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni mbalimbali ambayo ni wadau wa soko la
hisa la Dar es salaam (DSE) jijini
Dar es salaam, msajili wa hazina bw lawrence Mafuru alisema tuzo hizo
zimetolewa ka lengo la kutambua mchango wa kampuni hizo pamoja na
kuziwezesha kampuni hizo kutambua umuhimu wa maswala ya mitaji.
''tuzo hizi zinalenga kutathimini kampuni yenye kuuza hisa zake kupitia DSE ,mgawanyo wa gawio ,nauwezo waukwasi wakampuni na namna inavyo tunza mazingira ''Alisema Mafuru.
Mapema
akizungumzia Tuzo hizo Mwenyekiti wa jop la majaji wa tuzo hizo mkaguzi
wa hesabu za serikali mstaafu bw Ludovic Utou alisema
DSEimekuwa
ikichangia kukuza uchumi wake kupitia masoko ya mitaji hali inayochangia
kapuni zilizo orodhesha na Taasisi hiyo kufanya vizuri .
Kwa
upande wake Afisa Mtendaji mkuu wa Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)
Bw Moreni Marwa alisema kampuni nyingi zimekuwa na mwamko katika siku
za hivi karibuni katika maswala ya kununua Hisa na Amana za mitaji hivyo
kutoa wito kwa makamuni mengine kujiumga na soko la hisa kwani kwa
kufanya hivyo kutasaidia kukua wa uchumi wa taifa pamoja na kampuni hizo
kukua pamoja na kuongeza mitaji yao
No comments