Breaking News

PPF YAIBUKA KIDEDEA KUNDI LA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KATIKA MAONYESHO YA 40 YA SABASABA




 Rais wa Rwanda Paul Kagame, (wapili kulia) akiwa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli, (wakwanza kulia), akimkabidhi tuzo ya msindi wa kwanza kundi la  Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na makampuni ya Bima, Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 1, 2016. Wapili kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage.
 Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele (wakwanza kulia) akiungana na wafanyakazi enzake kusherehekea tuzo ambayo Mfuko umepata wakati wa uzinduzi wa maonyesho hayo ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
 Afisa wa PPF anayeshughulikia huduma kwa Wanachama Mohammed Siaga,akionyesha tuzo hiyo
Wafanyakazi wa PPF wakishangilia ushindi huo mbele ya banda lao

No comments