MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGE LA VIJANA LINALOENDELEA MJINI DODOMA.
Waziri wa Elimu wa bunge la vijana Tanzania Bi,
Nice Munissy akisoma bajeti ya wizara ya elimu mapema leo bungeni Dodoma
Wabunge wa bunge la
vijana wakijadili bajeti ya wizara ya elimu
Wabunge wa bunge la Vijana
wakitoka bungeni mara baada ya kumaliza kikao cha siku ya kujadili bajeti
wizara ya elimu
Wabunge wa bunge la Vijana
katika picha ya pamoja mbele ya ukumbi wa bunge
No comments