MADE IN TANZANIA; HII NDIO CHOPA YA KWANZA KUTENGENEZWA BONGO,
Hata
mbuyu ulianza kama uyoga. Na Bw. Adam wa Adam Auto Garage ya mjini
Tunduma mkoani Songwe amedhihirisha hilo kwa kuunda helikopta
inayotumia injini ya gari ambayo anasema anatarajia kuirusha siku Mwenge
wa Uhuru utapofika mjini hapo. Picha za ubunifu huu zimesambaa kwenye
mitandao ya jamii ila cha ajabu hakuna mamlaka iliyoshituka.
Bw.
Adam akipongezwa kwa ubunifu wake ambao mamlaka husika zinaombwa kwenda
na kuangalia namna ya kutumia kipaji hiki cha aina yake kwa maendeleo
ya Taifa
Wananchi wakiishanga helikopta ya Adam Auto Garage mjini Tunduma
Bw. Adam na timu yake
No comments