|
Katibu
Tawala Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akizungumza kwenye halfa ya
kuapishwa wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Tanga,Martine Shigella na Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Othumani
Shijja. |
|
Mkuu
wa wilaya mpya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa
wa Tanga,Martine Shigella leo kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Mhandisi Zena Saidi |
|
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Mhandisi Mwanaisha Rajabu akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martne Shigella |
|
Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Abdallah Issa akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga leo. |
|
Mkuu wa wilaya Mpya wa Handeni Mkoani Tanga,Godwin Gondwe akila kiapo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella |
|
Mkuu
wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Robert Gabriel akila kiapo kwa Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella anayeshuhudia kulia ni Katibu Tawala
wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Said. |
|
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarfu Professa
Maji Marefu kulia akimtambulisha Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mkoani
Mwanza (CCM)Stanslaus Mabula wakati wa Halfa ya kuapishwa wakuu wa wilaya wapya leo |
Mkuu wa wilaya Mpya wa Handeni Mkoani Tanga,Godwin Gondwe kulia akitete jambo na Mwandishi wa ITV na Radio One
Mkoani Tanga,William Mngazija mara baada ya kuapishwa
|
Mkuu wa Mkoa wa Tanga katikati akiwa picha ya pamoja na wakuu wa wilaya wapya wa mkoa wa Tanga leo mara baada ya kuwaapisha | | |
No comments