BOSS WA NHC AZUNGUMZIA MIRADI YA SHIRIKA HILO KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Mkurugenzi
wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa maonyesho ya TANTRADE Sabasaba
yanayoendelea katika viwanja hivyo vilivyopo barabara ya Kirwa jijini
Dar es salaam ambapo ameelezea uendelezaji na uuzaji wa nyumba katika
maeneo mbalimbali unaoendelea katika miradi yao iliyopo nchi nzima.
Mkurugenzi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akifafanua jambo kuhusu mipango ya shirika hilo wakati akizungumza na wanahabari katika banda la maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya TANTRADE barabara ya Kirwa.
Clara Lumbanga Ofisa Maeneleo ya Biashara NHC akimuangalia mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo wakati alipokuwa akisaini kitabu cha wageni.
Mkurugenzi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akifurahia jambo na baadhi ya wateja waliotembelea katika banda hilo.
Clara Lumbanga Ofisa Maeneleo ya Biashara NHC akitoa maelezo kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC.
Bw. Emmanuel Lyimo Ofisa Utafiti wa Masoko akizungumza na Mkurugenzi wa Blogu ya Fullshangweblog Bw. John Bukuku wakati alipotembelea katika banda la NHC.
Mkurugenzi wa Shirika la Numba la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa shirika la NHC wanaoshiriki katika maonyesho ya TANTRADE yanayofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba jijini Dar es salaam katika barabara ya Kirwa.

No comments