Breaking News

MZEE MWINYI AKABIDHIWA TUZO NA MSHINDI WA KWANZA AFRIKA NA WA SITA DUNIANI KATIKA MASHINDANO YA KUSOMA QUR-AN KWA NJIA YA TAJIWEED LEO.

 Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Abubakary Bin Zubeir (kushoto) akiwa na viongozi mbalimbali wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata), wakati wakimsubiri kumpokea, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, kuwasili kwenye Ofisi za Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaam, leo katika hafla ya kumpongeza Mwanazuoni kutoka Kondoa,Tanzania, Sheikh Rajay Ayub ambaye ameibuka mshindi wa kwanza Afrika na wa sita Duniani katika mashindano ya 37 ya Kimataifa ya usomaji Qur-an kwa njia ya Taj-weed, yaliyofanyika mwezi uliopita nchini Iran.






































  PICHA:; The Bashir Nkoromo

No comments