SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC), LAPATA BOSS MPYA.
WA KWANZA KUSHOTO MKURUGENZI MTEULE WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR NDG, IMANE DUWE.
RAIS WA
ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA WAWAKIRISHI DKT MOHAMED SHEIN AMEMTEUA NDG
IMANE DUWE KUWA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZBC), PIA MHE SHEIN AMEMTEUA NDG NASSRA MOHAMMED JUMA KUWA
NAIBU MKURUGENZI WA SHIRIKA HILO.
KABLA YA
UTEUZI HUO NDG, DUWE ALIKUWA MHADHIRI KATIKA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINE
MWANZA.
No comments