MIAKA 10 YA UMOJA SWITCH WAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
Afisa Mtendaji Mkuu wa Umoja Switch Bw Danford Mbilinyi Akizungumza
na Vyombo vya Habari leo wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya
UMOJASWITCH.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Umoja Switch Bw Danford Mbilinyi
Amezindua Amezindua Rasmi Maadhimisho ya Miaka 10 ya Umojaswitch..Katika Hotuba
yake aliyoitoa kwa Vyombo vya Habari Amesema Miaka 10 iliyopita Benki
ndogo zilikuwana Changamoto Kubwa ya kuweza Kupatia Huduma za ATM wateja wao
kwani Mitaji na Gharama za uwekezaji,Uendeshaji wa ATM na Wigo wao wa utoaji wa
Huduma hii Uliwapa Changamoto kubwa.Kutokana na ChangamotoHizo Mabenki
Sita Yaliamua Kuanzisha Umoja wao ili Yaweze Kuweka ATM na Kuwezesha Benkihizo
Kushirikiana katika Utoaji wa Huduma a ATMKWA Wateja wao,Umoja huo Ndio uliozaa
UMOJASWITCH.
Akielezea Zaidi Bw Danford Mbilinyi Amesema kwa Sasa Umoja Switch
Ina Jumla ya Mabenki 27 Yanayoshirikana katika Utoaji wa Huduma za Kibenki
Kupitia ATMzaidi ya 250 Nchi nzima.Kupitia Umojaswitch Mteja wa Benki
Yenye Tawi Moja Inamwezesha Mteja wake Kupata Huduma Sehemu Yoyote Tanzania.
Mafanikio ya Umojaswitch ni
Mafanikio ya Ushirikiano na Mabenki Pamoja na Mzingira Wezeshi yaliowekwa
na Serikali Kuptia Benki Kuu.Wakti Umoja Huo Ulioanzishwa na Kuanza kutoa
Huduma zake Jumla ya Benki sita tu ndio walikuwa wanachama wa Umoja Swich
Pamoja na ATM 27 tu.Tofauti na Ssas umoja huo una Wanachama 27 unaotoa Huduma
kwa zaidi ya wateja Milionoi 2 kupitia Zaidi ya ATM 250.Mafanikio ya Umoja Huo
yanachangiwa na Ubunifu na Huduma zitolewazo na Umojaswitch kama Kuhamisha
Fedha Kutoka Benki moja kwenda Nyingine zilizopo ndani ya Umoja huo
Kupitia ATM Pamoja na Huduma za Kununua Luku Mpesa pamoja na Kulipia Huduma
Mbalimbali Kupitia Hudama za Mobile Banking na zile za Uwakala.
Katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya
Miaka 10 ya Umojaswitch ni Kutoa Elimu kwa Wananchi Kuhusu Umuhimu wa
Mtandao huu na Technolojia kwa Ujumla Katika Kukuza na Kuendeleza Sekta ya
Kibenki na Mchango wake katika maendeleoa ya Maisha ya Kila siku, Pia katika
Maadhimisho haya Wanategemea Kufanya Shuguli Mbalimbali ikiwemo
kuchagiza Matumizi ya Technolojia na Ubunifu Kwenye Vyuo vikuu hapa
Nchini kwajili ya kuwa Kichocheo muhimu Katika Maendeleo ya Sekta ya Kibenki
No comments