RAIS DKT SAMIA AFUTURISHA WATOTO WENYE UHITAJI DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 3,2025 amefuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Aidha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameungana na watoto hao katika futari iliyoandaliwa na Mhe Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam.
No comments