Breaking News

NISHATI SAFI YARAHISISHA ZOEZI LA UCHOMAJI NYAMA

Wafanyabishara wa nyama choma Jijini Arusha wamesema kuwa uchomaji nyama kwa kutumia majiko ya Nishati Safi ya kupikia kumerahisisha zoezi la uchomaji na kuongeza ladha ya nyama.

Wamesema kuwa majiko hao yamekuwa yakichoma kiasi kikubwa cha nyama kwa Muda Mfupi tofauti na awali walipokuwa wakitumia majiko mengine.
Wamesema pamoja na Gesi katika kuwezesha kuharakisha shughuli ya uchomaji nyama kwa haraka pia majiko ya kutumia Nishati mbadala yamekuwa mkombizi kwako katika kufanikisha kazi zao.

Maadhimisho ya siku ya Wanawake Kitaifa yanafanyika Jijini Arusha ambapo imepambwa na Nyama Choma kwa kutumia Nishati safi ya Kupikia ikiwemo Nishati Mbadala na Gesi.





No comments