WATENDAJI WA UCHAGUZI MIKOA YA ARUSHA, KILIMANJARO NA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA UBORESHAJI
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo Novemba 30 hadi Disemba 1, 2024 Mkoani Kilimanjaro.
Washiriki wa mafunzo kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo.
Washiriki wa mafunzo kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo Novemba 30 hadi Disemba 1, 2024 Mkoani Arusha.
Na Waandishi wetu, Arusha, Kilimanjaro na Dodoma
Watendaji wa uchaguzi kutoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Dodoma leo tarehe 30 Novemba, 2024 wamepatiwa mafunzo ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ikiwa ni maandalizi ya kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa daftari hilo katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Halmashauri za Wilaya ya Kondoa, Kondoa Mji na Chemba. Zoezi hilo linatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 11 hadi 17 Desemba, 2024.
Washiriki wa mkoa wa Arusha wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mafunzo.
Mrakibu Msaidizi wa Uhamiaji, Adrian Ntambala akiwasilisha mada kuhusu uraia kwa washiriki wa mafunzo mkoa wa Arusha.Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Asina Omari akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo Novemba 30 hadi Disemba 1, 2024 Mkoani Dodoma.
Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa Halmashauri wakila kiapo cha kujitoa uanachama na kutunza siri kabla ya kuanza mafunzo yao leo Novemba 30 hadi Disemba 1, 2024 Mkoani Dodoma.

Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa Halmashauri wakila kiapo cha kujitoa uanachama na kutunza siri kabla ya kuanza mafunzo yao leo Novemba 30 hadi Disemba 1, 2024 Mkoani Kilimanjaro.

Meza kuu wakati wa mafunzo
Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa
Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa
Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa Halmashauri wakila kiapo cha
kujitoa uanachama na kutunza siri kabla ya kuanza mafunzo yao leo Novemba 30
hadi Disemba 1, 2024 Mkoani Arusha.
No comments