Breaking News

NAIBU SPIKA ZUNGU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA 53 JUMUIYA YA WAISLAM WA AHMADIYYA

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu akiwasili kumwakilisha Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 53 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania Jijini Dar es Salaam
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu akizungumza kwa niaba ya Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 53 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania Jijini Dar es Salaam
Sheikh Khawaja Muzafar Amir  na mbashiri mkuu wa jumuiya ya waislam Ahmadyya akifafanua jambo katika mkutano wa 53 wa jumuiya hiyo uliofanyika tarehe Jijini Dar es Salaam,

Dar es salaam
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu, amemwakilisha Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa 53 wa Mwaka wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania, uliofanyika Ilala Jijini Dar es Salaam. 

No comments