Breaking News

PICHA: MHE KAPINGA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI TAMASHA LA KAZIMKAZI

Naibu Waziri wa Nishati,  Mhe. Judith Kapinga  amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar.

Wizara ya Nishati  inashiriki katika  tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma  moja kwa moja kwa wananchi kwa kushirikiana na  Taasisi zake pamoja na kutoa elimu ya Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034.






No comments