Breaking News

KAYA 79 NA MIFUGO 995 ZAAGWA KUHAMA KWA HIARI KUTOKA KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO KWENDA MSOMERA

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa zoezi la kuagwa kwa wananchi waliyopo katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro wanaohama kwa hiara kwenda Msomera, mkoani na Tanga na maeneo mengine nchini Tanzania leo Agosti 22, 2024.

 Zoezi hilo limefanyika katika ofisi za zamani za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngongoro (NCAA), Karatu mkoani Arusha na limehusisha Kaya 79 zenye watu 367 na mifugo takriban 995.






No comments