Breaking News

DODOMA NI MMOJA YA MKOA WENYE AINA NYINGI ZA MADINI

Imeelezwa kuwa Dodoma ni Mkoa wenye aina nyingi za Madini kuliko Mikoa yote Tanzania, hii ni kwa mujibu wa taarifa za GST. Mhe. mgeni rasmi, kuna tafiti zinaendelea katika Mkoa wa Dodoma za madini  ya Copper na dhahabu zinazofanywa na kampuni mbalimbali ikiwemo GGM. Pia, tumepata mwekezaji mmoja wa kuchakata madini ya lithium anaendelea kukamilisha ufungaji wa mitambo. Ni matumaini yangu kuwa tafiti hizi zikikamilika zitaifanya Dodoma kuwa na migodi mikubwa ya Madini," Mkuu Wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule*

No comments