Breaking News

DAWASA YASHINDA TUZO KINARA UTOAJI TAARIFA KWA UMMA

Afisa Mawasiliano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Ndugu Nelson Shoo (wa pili kulia) akipokea tuzo kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Waziri baada ya Mamlaka kuibuka kinara katika utoaji wa taarifa kwa umma miongoni Mwa Mamlaka za Maji Nchini.
Tuzo hii imetolewa na Mhe. Waziri Nape wakati wa kikao kazi cha Maafisa Habari Serikalini kilichokuwa na kauli mbiu "Jenga Mustakabali endelevu kwenye Sekta ya Habari katika zama za kidijitali