HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2023
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) pamoja na matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA) leo Jumapili Desemba 7, 2023.
Tazama matokeo ya kidato cha pili hapa
Tazama matokeo ya darasa la nne hapa
https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/sfna/sfna.htm
Post Comment
No comments