Breaking News

TPSF WAFANYABISHARA CHANGAMKIENI FURSA MAZAO YA KIMKAKATI

Na Timothy Marko
Taasisi ya Sekta binafsi (TPSF) imewataka Wafanyabiashara nchini kuangalia fursa za kibishara katika Mazao ya kibishara ya kimkakati kwa lengo la kuweza kukuza Uchumi.

Akizungumza katika kikao cha wadau wa sekta binafsi nchini ojini Dar es salaam, Mkurugenzi wa (TPSF), Bw Francis Nainai amesema bara la afrika kuna takibani Dola zaidi ya Trioni 3 ambazo hazijawekezwa bado hasa hususani katika sekta kilimo Biashara.

"Soko la afrika ni Dola trioni3.1naidadi ya watu nibilioni3 hii nifursa nzuri Kwa bara la afrika". Alisema Francis Nanai.

Alisema ni lazima wafanyabiashara wa kitanzania kujiunga katika jumuia hiyo ya kisoko la bidhaa ulikuweza kukuza sekta ya Biashara.

"Ni lazima tuhakikishe  bidhaa zetu zina ubora na Gharama nafuu ili tuweze kushindana". Aliongeza Nanai.

No comments