AAFP Yawakaribisha Wagombea wa Ubunge Waliokosa Nafasi Vyama Vingine
Chama Cha Wakulima (AAFP) kimewataka wagombea waliokosa nafasi za ubunge na udiwani kwenye vyama vingine vya Siasa kijitokeza kuchukua fomu kupitia chama hicho kwani bado wanazo nafasi nyingi zilizo wazi
Chama hicho pia kimemteua Seif Maalim Seif kuwa mgombea urais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku Rashid Rai ambaye ni Katibu Mkuu wa chama akiteuliwa kuwa mgombea mwenza.
Chama hicho pia kimemteua Said Sudi Said kuwa mgombea urais wa Zanzibar.
No comments