Breaking News

PICHA: Maalimu Seif Awasili Pemba Kuanza Ziara Ya Kichama.

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif tayari amewasili kisiwa cha Pemba kwa ajili ya kuanza ziara ya chama katika wilaya zilizopo Pemba, ziara hii baada ya kukamilisha ziara yake ya siku tatu katika mkoa wa Dar es Salaam. 

No comments