PICHA: Dua Ya Miaka Miwili Ya ICONY TV Yafana Jijini Dar
CEO wa ICONY TV Danny Kaboma akiwa katika picha ya pamoja na wadau katika hafla na Dua ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa ICONY TV, Dec 22 jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Viti maalumu Kigoma wa CUF Mhe. Kiza Mayeye Akizungumza katika Dua ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa ICONY TV, Dec 22 jijini Dar es salaam.
Naibu kaimu katibu mkuu wa CUF Taifa Jaffar Mneke akiongea kwa niaba ya chama cha hicho katika Dua ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa ICONY TV, Dec 22 jijini Dar es Salaam
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akitoa salam kutoka kwa Kiongozi wa chama ZITTO Kabwe katika Dua ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa ICONY TV, Dec 22 jijini Dar es Salaam.
CEO wa ICONY TV Danny Kaboma akisikiliza Mgeni rasmi mbunge wa Viti maalum mkoa wa Kigoma Bi Kiza Mayeye katika hafla na Dua ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa ICONY TV, Dec 22 jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa kiongozi waandamizi wa ACT-Wazalendo akielezea mchango wa ICONY TV kwa chama hicho katika Dua ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa ICONY TV, Dec 22 jijini Dar es Salaam
Mbunge wa Viti maalumu Kigoma wa CUF Mhe. Kiza Mayeye (kushoto), na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT Wazalendo Ado Shaibu wakifatilia Dua ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa ICONY TV, Dec 22 jijini Dar es Salaam.
Wadau mbalimbali waliofika kushiriki dua ya kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa ICONY TV, Dec 22 jijini Dar es Salaam.
No comments