Picha: Kampeni Mgombea Wa Cuf Mtaa kwa Mtaa Jimbo Kinondoni Jijini Dar.
Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo wa marudio wa Jimbo
La Kinondoni CUF Bw. RAJABU SALUM akiomba
kura mtaa kwa mtaa katika kata ya Magomeni mtaa wa Idrisa kulia kwake ni Kaimu Katibu Mkuu Na Mkuu Wa Kitengo Cha Habari Na Uenezi
Cuf Taifa Bw. Abdul Kambaya, Kushoto kwake katibu wa Bodi ya
wadhamini CUF Bw, Thomas Malima jijini Dar es salaam
Kaimu Katibu Mkuu Na
Mkuu Wa Kitengo Cha Habari Na Uenezi Cuf Taifa Bw. Abdul Kambaya akimnadi
mgombea kupitia chama hicho Bw. RAJABU SALUM
kwa wananchi wa kata ya Magomeni Mapipa mtaa
wa Idrisa jijini Dar es salaam
Kaimu Katibu Mkuu Na Mkuu Wa Kitengo Cha Habari Na Uenezi
Cuf Taifa Bw. ABbdul Kambaya akimwombea kura mgombe wa chama hicho kwa wa wakazi
wa kata ya Magomeni Mapipa mtaa wa Idrisa Jijini dar es salaam
Mgombea Ubunge Katika Uchaguzi wa marudio katika Jimbo la Kinondoni CUF Bw. RAJAB SALUM akiomba kura kwa wakazi wa kata ya Magomeni Mapipa Mtaa wa Idrisa Jijini Dar es salaam.
katibu wa Bodi ya
wadhamini CUF Bw, Thomas Malima akimwombea kura mgombe wa chama hicho kwa wa wakazi wa
kata ya Magomeni Mapipa mtaa wa Idrisa Jijini dar es salaam
Mbunge Mstaafu Wa Jimbo La CHONGA Bw Haroub Mohamed
Shamis akimnadi mgombea wa
chama hicho kwa mamia ya wananchi na wanachama wa chama hicho kata ya Magomeni Mapipa mtaa wa Idrisa Jijini
dar es salaam
Katibu
wa JUKE Taifa Bi, Salama Masoud akimnadi
mgombea wa chama hicho kwa mamia ya wananchi na wanachama wa chama hicho kata ya Magomeni Mapipa mtaa wa Idrisa Jijini
dar es salaam
Baadhi ya Wakazi na wanachama wa Chama Cha Wananchi CUF wakiandamana kumnadi Mgomgea wa chama hicho Bw. RAJABU SALIM (Hayupo Pichani) kata ya Magomeni Mapipa Mtaa wa Idrisa Jijini Dar es salaam.
No comments