MMILIKI WA HABARI24 BLOG EXAUD MTEI APATA NONDO YA ELIMU YA JUU
Mmiliki wa mtandao wa Habari 24 Bw.
Exaud Mtei akiwa katika pozi, katika maafari 41 ya Chuo cha Ustawi wa Jamii
Kijitonyama jijini Dar es salaamii.
Dar es salaam:
Chuo cha ustawi wa jamii siku ya tarehe
25 novemba kimefanya maafari yake ya 41 toka kuanzishwa kwake, ambapo wahitimu zaidi
ya 300 walitunukiwa vyeti vya kuhitimu fani mbalimbali siku hiyo na mmoja wapo
akiwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Habari 24 Media Bw. Exaud Mtei.
"Uongozi wa Mtandao wa Harakati za Jiji blog unachukua nafasi hii kumpongeza mkurugenzi huyo, kwani safari hiyo aliyokuwa nayo kwa kipindi cha miaka mitatu haikuwa rahisi".
Muhitimu wa Shahada ya Ustawi wa
Jamii ambaye ni Mmiliki wa mtandao wa Habari 24, Bw. Exaud Mtei (Pchani) akipongezwa
na Mtangazaji wa kituo cha EATV Bw. Materu (katikati) na Mmiliki wa Mtandao wa Full
Habari Media Bw. Selemani Magari mara baada ya kumalizika mahafali 41 ya chuo cha ustawi wa jamii Jijini Dar es
salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Habari 24 Media
Bw.Exaud Mtei akipongezwa na Mkurugenzi mtendaji wa Full Habari Blog Bw. Selemani
Magari mara baada ya kumalizika mahafali
41 ya chuo cha ustawi wa jamii Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Habari 24
Media, Bw. Exaud Mtei akiwa katika picha ya pamoja na familia yake.
Mkurugenzi Mkuu wa Habari 24
Media, Bw. Exaud Mtei akipata chakula cha baadhi ya wageni waalikwa mara baada
ya kumalizika mahafali 41 ya chuo cha
ustawi wa jamii Jijini Dar es salaam.
No comments