Shaka Aongoza Kikao Cha Sekretariet Ya Baraza Kuu Uvccm Taifa Jijini Dar.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiongoza kikao
cha Secretariet ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kwa maandalizi ya vikao vya
kikanuni vya Umoja wa Vijana wa CCM vitakavyofanyika Dodoma ambapo pamoja na
mambo mengine vitajadili waombaji wa nafasi mbali mbali za uongozi kwa nafasi
za Mkoa na Taifa kupitia Umoja wa Vijana wa CCM kabla kuwasilisha katika vikao
vya Chama Cha Mapinduzi kwa uteuzi wa mwisho.(picha na Fahadi Siraji).
No comments