Breaking News

Picha: Dkt.Dau Akiwasilisha Hati Ya Utambulisho Kwa Rais Wa Indonesia Joko Widodo.

Balozi wa Tanzania nchini Indonesia Mhe Dkt Ramadhan Dau akiwasilisha hati za Utambulisho kwa Rais Joko Widodo. 
Allah amtangulie katika kazi zake na azidi kufungua kurasa mpya za mahusiano ya kitaifa na fursa za kibiashara baina ya nchi zetu mbili.

Tanzania na Indonesia tuna historia ndefu ya ushirikiano na kuheshimiana

No comments