YANGA JUNIOR KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA HALELUYA FC YA KOREA
Timu ya Yanga Junior pamoja na
Haleluya Fc kutoka Korea zinatarajiwa kucheza kucheza mchezo wakirafiki
utakaochzwa 8 mwezi huu katika uwanja wa jijini Dar es salaam
Akizungumza mapema leo katika ukumbi
wa maelezo Mch.Dkt.Huruma Nkone kutoka Tanzania Assemblies of God alisema
mchezo huo wa kirafiki umelenga kujenga kuenzi urafiki wa nchi hizi mbili.
alisema siku tarerhe 8 kuanzia saa
nane kutakuwepo na aina mbalimbali ya mchezo pamoja na dance maalum kutoka
Korea.
Aidha Mch.Nkone amewaomba mashabiki
wa michezo kujitokeza kwa wingi kushuhudia pambano hilo ambalo lina lengo la
kujenga urafiki baina ya nchi hizo mbili katika sekta ya michezo.
No comments